WAZIRI RIDHIWANI:TANESCO MUONGEZE VITUO VYA KUCHAJIA VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOTUMIA UMEME

Na Mwandishi Weru,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amelitaka Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) kuongeza vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia nishati ya umeme ili kuongeza wigo wa utoaji huduma hiyo ambayo imeonekana kuleta mageuzi katika matumizi ya nishati safi. Mhe….

Read Full News

TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE UTAFITI WA KINA WA MADINI NCHINI

▪️Serikali ya Canada yavutiwa na MINING VISION 2030 ▪️Utafiti kugusa mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini ya Tanzania ▪️Waziri Mavunde awaelekeza GST kuainisha maeneo ya kimkakati ▪️Tafiti za kina za madini kuondoa uchimbaji wa kubahatisha ▪️Tanzania yajipanga kufikisha eneo la utafiti kutoka 16% kwenda 50% ifikapo 2030 Na Mwandishi Wetu,Dodoma Tanzania na Canada zimekubaliana…

Read Full News

TANESCO YAKAMILISHA MIRADI YA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME DODOMA

📌 Itanufaisha wilaya za Kongwa,Gairo, Mpwapwa, na Chamwino 📌 Waziri Ndejembi azindua Kituo cha Kubadilishia Njia za Usambazaji Umeme na Transfoma ya Kudhibiti Umeme 📌 Serikali yawekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 10.5 kuimarisha huduma ya umeme Na Mwandishi Wetu, Kongwa Wananchi wa Wilaya za Gairo, Mpwapwa, Kongwa, Chamwino na Kiteto wanatarajiwa kunufaika na huduma ya…

Read Full News

MRADI WA EACOP UMETOA ZAIDI YA AJIRA 3,000 MKOANI SINGIDA-MHE.SALOME

Na Mwandishi Wetu,Singida Zaidi ya ajira 3,000 zimetolewa mkoani Singida kupitia utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), huku wananchi wakinufaika pia kwa kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kuuza vyakula, kukodisha vyombo vya usafiri na kutoa huduma nyingine zinazohitajika wakati wa utekelezaji wa mradi huo, hatua inayochangia kuongeza kipato kwa jamii…

Read Full News

DC MBARALI AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA YA MRADI WA TAZA

Lengo ni kuimarisha na kuhifadhi mazingira Maeneo yenye vyanzo vya maji vinavyochangia uzalishaji wa umeme kupewa kipaumbele Na Agnes Njaala, Itamboleo Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Brigedia Jenerali Maulid Surumbu, ameongoza zoezi la upandaji miti katika maeneo yaliyopitiwa na Mradi wa Kusafirisha Umeme wa Tanzania–Zambia (TAZA), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kurejesha uoto wa…

Read Full News

WACHIMBAJI WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA KEMIKALI

Na Oscar Nkembo,TaboraMkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai, amewataka wachimbaji wa dhahabu kuzingatia usimamizi na matumizi salama ya Kemikali ili kuepukana na madhara ya kemikali yanayoweza kuathiri afya za wananchi na mazingira. Mkuu wa Wilaya, Tukai amesema hayo Juni 12, 2026 wakati akifungua mafunzo ya usimamizi na matumizi salama ya Kemikali kwa wachimbaji…

Read Full News

MHA. MRAMBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUHARAKISHA MIRADI YA JOTOARDHI NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu,Canada, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, amefanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa sekta ya nishati kuhusu fursa za kuendeleza miradi ya jotoardhi na kuimarisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Jotoardhi (World Geothermal…

Read Full News

BAJETI KUU YA SERIKALI TRILIONI 62.33

Na Mwandishi Wetu, DODOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2026/2027, ambapo amesema Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mhe. Balozi Omar amesema kuwa,…

Read Full News