WAZIRI NDEJEMBI AZINDUA MKOPO WA MAJIKO YA UMEME, VITUO VYA KUCHAJIA MAGARI YA UMEME
📌Vituo 50 kujengwa nchini 📌Wateja milioni moja kunufaika na majiko ya umeme Na Mwandishi Wetu,Dodoma Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo Juni 11, 2026 jijini Dodoma amezindua rasmi mpango wa ukopeshaji wa majiko ya umeme kwa wateja wa TANESCO pamoja na mradi wa vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme, hatua inayolenga kuhamasisha…

