SGR MWANZA–ISAKA YAFIKIA ASILIMIA 68 – SERIKALI YAAGIZA KASI NA UBORA KUZINGATIWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 24 Februari, 2026 amekagua utekelezaji wa Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) Lot 5 kipande cha Mwanza–Isaka (km 341) unaogharimu Sh trilioni 3.06, na kuagiza kasi iongezwe huku viwango na ubora wa kimataifa vilivyosanifiwa kwa mtandao mzima wa SGR vikizingatiwa kikamilifu. Amesema Serikali ya…

Read Full News

RC DENDEGO AMPA TANO DKT SAMIA UTEKELEZAJI KWA VITENDO MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu,Singida KATIKA nchi inayokumbwa na changamoto za kiafya, mazingira na umasikini, nishati safi ya kupikia si tu hitaji la msingi bali ni kichocheo cha maendeleo ya kweli kwa watu na Taifa kwa ujumla. Katika kukabiliana na ukataji miti ambapo takribani asilimia 16 ya eneo la nchi tayari limegeuka kuwa janga, Serikali ya Awamu…

Read Full News

MRADI WA KUFUNGA MIFUMO YA UMEME JUA MAENEO YA VISIWANI KWA BEI YA RUZUKU WAZINDULIWA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza NAIBU Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amezindua mradi wa kusambaza mifumo ya umeme jua visiwani unaolenga kuweka mifumo 20,000 ya umeme jua katika visiwa 120 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8 ambapo Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka ruzuku hadi ya asilimia 75 katika gharama za uunganishaji umeme. Mhe. Salome Makamba amezindua…

Read Full News

WATUHUMIWA SABA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA DAWA ZA KULEVYA SAME

Na Mwandishi Wetu,Same WATUHUMIWA saba wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same leo, Februari 19, 2026, wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali yanayohusiana na dawa za kulevya aina ya mirungi, huku mmoja wao akiwekewa amri ya kuwa chini ya uangalizi wa Polisi kwa miaka mitatu. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, kesi saba zimefunguliwa, kila moja ikiwa…

Read Full News

SERIKALI YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA KUPELEKA NISHATI SAFI KWA TAASISI ZINAZOHUDUMIA WATU ZAIDI YA 100

Unahusisha Shule za Sekondari 52 na Chuo kimoja cha VETA Ni sehemu ya mradi wa Shilingi bilioni 25.8 wa kupeleka nishati safi ya kupikia kwa taasisi 453 Na Mwandishi Wetu,Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amezindua awamu ya kwanza ya mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia watu zaidi ya…

Read Full News