
HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI IMEIMARIKA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma ya majisafi ndani ya eneo lake la kihuduma na kuendelea kupita mtaani kujiridhisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa Wananchi katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Everlasting…