Skip to content
December 22, 2025
  • WADAU WA UCHUKUZI WATAKIWA KUPANGA MIPANGO ITAKAYOKUZA UCHUMI WA BULUU
  • DC MSANDO MGUU KWA MGUU MBURAHATI UFUFUAJI VISIMA
  • TCB YAZINDUA KAMPENI YA SIKUKUU YENYE REJESHO LA ASILIMIA 10 KWA WATEJA
  • AWESO ARIDHISHWA NA WINGI WA MAJI RUVU JUU, AIPA DAWASA JUKUMU
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi

Chief Editor

Saroj Mhr

Lorem ipsum is simply dummy text
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
Youtube Live
  • Home
  • Kitaifa
  • Page 32

Highlight News

Kitaifa
WADAU WA UCHUKUZI WATAKIWA KUPANGA MIPANGO ITAKAYOKUZA UCHUMI WA BULUU
Kitaifa
DC MSANDO MGUU KWA MGUU MBURAHATI UFUFUAJI VISIMA
Kitaifa
TCB YAZINDUA KAMPENI YA SIKUKUU YENYE REJESHO LA ASILIMIA 10 KWA WATEJA
Kitaifa
AWESO ARIDHISHWA NA WINGI WA MAJI RUVU JUU, AIPA DAWASA JUKUMU

Category: Kitaifa

  • Kitaifa

DAWASA YATOA MKONO WA EID KWA MAKUNDI YA WAHITAJI

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo. Hatua hiyo ni sehemu ya…

Read More
  • Kitaifa

Msajili Hazina: Tuyaishi mafunzo ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amewataka watumishi wa ofisi yake kuutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kama nyenzo ya kufanyakazi kwa bidii na maarifa makubwa kwa faida ya Taifa la Tanzania. Mchechu aliyasema hayo Jumatatu, Machi 24, 2025 wakati wa hafla ya iftar kwa watumishi wa ofisi ya Msajili wa Hazina…

Read More
  • Kitaifa

Hazina:Uchambuzi wa bajeti kuchochea ufanisi taasisi za umma

taifatz9 months ago9 months ago04 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TIMU ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia Jumatatu (Leo), kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na mashirika ya umma, kazi ambayo ni muhimu katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa rasilimali za serikali. Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mashirika yasiyo ya…

Read More
  • Kitaifa

BARAZA LA SABA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA DODOMA

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo Machi 22, 2025 amefungua Baraza la saba la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati ambalo limepitia pamoja na mambo mengine Rasimu ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 na kupitia hoja mbalimbali zilizowasilishwa na TUGHE. Akifungua baraza hilo Dkt. Kazungu…

Read More
  • Kitaifa

BENKI YA EQUITY YAFUTURISHA WATEJA,WADAU MJI MKONGWE ZANZIBAR

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar BENKI ya Equity siku ya jana iliandaa tukio la kipekee la Iftar, likiwa na lengo la kuleta pamoja wadau muhimu, wakiwemo viongozi, wateja, na wadau mbalimbali, ili kusherehekea kwa pamoja katika mwezi huu wa Ramadhani. Iftar hiyo ilifanyika katika hotel ya Madinat Al Bahr. Katika hotuba yake,Mkuu wa Kitengo cha Malipo kwa…

Read More
  • Kitaifa

KIHENZILE AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WIZARA YA UCHUKUZI UTEKELEZAJI MIRADI

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kwa kufanya vizuri katika kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo ni mikubwa na ya kimkakati. Kihenzile ameyasema hayo leo Machi 21 2025 wakati wa kufungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa…

Read More
  • Kitaifa

WIZARA YA NISHATI YATAJA MAFANIKIO UTEKELEZAJI MAJUKUMU 2024/2025

taifatz9 months ago9 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametaja mafanikio yaliyopatikana katika Wizara kwa mwaka 2024/2025 mojawapo ikiwa ni kuimarika kwa uzalishaji wa umeme. Akiwasilisha mafanikio hayo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Njshati na Madini, leo Machi 21 jijini…

Read More
  • Kitaifa

ETDCO WAKAMILISHA MRADI WA KILOVOLTI 132 TABORA URAMBO

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Tabora KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) imefanikiwa kuwasha rasmi laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye mrefu wa kilomita 115 kutoka Tabora hadi Urambo ambao unakwenda kuwasaidiawananchi wa Urambo na Kaliua kupata umeme wa uhakika nakuchochea maendeleo. Akizungumza leo Machi 20, 2025 Mkoani…

Read More
  • Kitaifa

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA

taifatz9 months ago9 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati wa ziara ya kukagua…

Read More
  • Kitaifa

GAWIO KUTOKA KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE ZAPAA KWA ASILIMIA 236

taifatz9 months ago9 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Dar es Salaam. Gawio kwa Serikali kutoka kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache limeongezeka kwa asilimia 236 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Katika mwaka ulioishia Juni 2024, Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina ilipokea kiasi cha Sh195 bilioni kama gawio, ikiwa ni ongezeko kutoka Sh58 bilioni miaka…

Read More
  • 1
  • …
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • …
  • 39

Habari Zote Mpya

  • WADAU WA UCHUKUZI WATAKIWA KUPANGA MIPANGO ITAKAYOKUZA UCHUMI WA BULUU
  • DC MSANDO MGUU KWA MGUU MBURAHATI UFUFUAJI VISIMA
  • TCB YAZINDUA KAMPENI YA SIKUKUU YENYE REJESHO LA ASILIMIA 10 KWA WATEJA
  • AWESO ARIDHISHWA NA WINGI WA MAJI RUVU JUU, AIPA DAWASA JUKUMU
  • MPOGOLO AWATAKA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME
  • MAYAMBA KUWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI.
  • REA, TANESCO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUONGEZA IDADI YA WATEJA VIJIJINI
  • BUGURUNI VIZIWI YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA ELIMU YA USALAMA BARABARANI
  • TRA YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA USALAMA WA BIASHARA ZAO
  • TTCL:WATANZANI WANATAKA HUDUMA BORA NAFUU ZA INTANETI

Habari Zote

  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi
© 2024 Taifa Tanzania. All rights reserved. Powered By BlazeThemes.