BILIONI 51 KUTUMIKA UJENZI WA BARABARA, MASOKO NA STENDI JIJINI ARUSHA
Na Mwandishi Wetu,Arusha MRADI wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha, Mhandisi Godfrey Bwire wakati akitoa…

