KIKEKE:TAWA WAMEONGEZA HADHI YA TAMASHA LA KIZIMKAZI

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi  na Redio/TV ya Crown  FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA) katika Tamasha la Kizimkazi umeleta chachu…

Read More

MAVUNDE: MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI  SEKTA YA MADINI UTAWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI  wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba  19 hadi 21 Novemba mwaka 2024.  Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, jijini  Dar es Salaam wakati akizungumza…

Read More

MKUU WA MKOA WA LINDI AWATAKA DMI KUENDELEZA  ENEO WALILOPEWA

Na Mwandishi Wetu,Lindi MKUU wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack ameutaka uongozi wa Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanaendeleza eneo walilopewa na mkoa huo kwa kujenga tawi la chuo hicho.  Taleck amaesema hayo  ofisini kwake wakati akiongea  na uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam(DMI)  walipofika ofisini kwake kwa lengo la kuelezea  mpango wa kutoa…

Read More

VIJIJI  VITANO VYALIPWA BILIONI  2 ZA MRABAHA KUTOKANA NA UZALISHAJI WA DHAHABU NYAMONGO

Nyamongo – Tarime Waziri wa Madini,Anthony Mavunde ataka fedha  zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi . Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wilayani Tarime  mkoani Mara wakati wa  hafla fupi…

Read More

CHANGAMOTO UCHAKATAJI MKONGE KUPATIWA UFUMBUZI

Na Mwandishi Wetu,Tanga  Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao walitembelea miradi mbalimbali ikiwamo mashamba ya Vyama vya Ushirika…

Read More

ENOCK KOOLA ANUSURU KILIMO CHA UMWAGILIAJI AJIUNGA NA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MFEREJI WA USHIRIKA MAKUYUNI

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Wanachama wa Ushirika Wametoa shukran za dhati Kwa Mdau huyo Kushiriki zoezi la Ujenzi wa Mfereji ambao unaohudumia zaidi ya kaya 500 kata ya Makuyuni wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro Mfereji huo wa Maji walikuwa wanautumia Kwa shughuli Mbalimbali za kijamii kama kilimo Cha mboga mboga na kunyweshwea mifugo Akizungumza…

Read More