ENOCK KOOLA ANUSURU KILIMO CHA UMWAGILIAJI AJIUNGA NA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MFEREJI WA USHIRIKA MAKUYUNI

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Wanachama wa Ushirika Wametoa shukran za dhati Kwa Mdau huyo Kushiriki zoezi la Ujenzi wa Mfereji ambao unaohudumia zaidi ya kaya 500 kata ya Makuyuni wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro Mfereji huo wa Maji walikuwa wanautumia Kwa shughuli Mbalimbali za kijamii kama kilimo Cha mboga mboga na kunyweshwea mifugo Akizungumza…

Read More

TBS YAFUNGUA DIRISHA LA TUZO ZA UBORA KITAIFA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza awamu ya tano ya mashindano ya tuzo za kitaifa za ubora ambapo washiriki watashindanishwa katika  vipengele  vitano ikiwemo kipengele cha kampuni bora ya mwaka. Akizungumza jijini leo  Agosti 14,Mkurugenzi  Mkuu wa TBS Dk.Ashura Abdul Katunzi amesema  tuzo hizo zilizoanza mwaka 2021 zina lengo  la kuwatambua na kuwapongeza watu binafsi  waliotoa mchango…

Read More

SEKRETARIETI YA MAADILI YAJIVUNIA VILABU VYA KUKUZA UADILIFU SHULENI,VYUONI

Na Nora Damian, Dodoma Sekteratieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema kupitia klabu za maadili zilizoanzishwa katika shule na vyuo mbalimbali nchini wanafunzi wamefundishwa elimu inayohusu uadilifu kwa lengo la kuja kupata viongozi waadilifu. Katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma, sekretarieti hiyo iliambatana na wanafunzi wa klabu za maadili…

Read More

TASAC KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA WADAU

Na Nora Damian, Dodoma  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Nelson Mlali amesema changamoto zote walizopokea kutoka wadau kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane yanayoendelea kitaifa jijini Dodoma watahakikisha zinapatiwa ufumbuzi ili kuufanya usafiri wa njia ya maji uwe salama na gharama nafuu. Akizungumza na Waandishi wa habari alisema…

Read More

TCRA: Links usizofahamu usifungue, usisambaze

Na Nora Damian, Dodoma Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kuongeza umakini katika matumizi ya simu za mkononi na mtandao wa intaneti na kutofungua au kutosambaza viunganishi (links) wasivyovijua kwani vinaweza kuwaletea athari. Akizungumza jana na Waandishi wa habari kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji yanayofanyika kitaifa jijini Dodoma, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano…

Read More

WAKILI NKUBA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI URAIS TLS MAHAKAMANI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma ALIYEKUWA urais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba ametangaza kupinga matokeo mahakamani yaliyompa ushindi Wakili Boniface Mwabukusi huku akitaja sababu mbalimbali anazodai zimehujumu uchaguzi huo. Akizungumza jana jijini Dodoma, Wakili Nkuba amesema hakubaliani na matokeo hayo na anapinga  matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya TLS kwasababu si matokeo yanayoakisi…

Read More