
NOTI MPYA KUANZA KUTUMIKA FEBRUARI MOSI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha,Dk.Mwigulu Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia Februari Mosi mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati akimkabidhi Dkt. Nchemba, Noti kifani za shilingi…