
WAZIRI SILAA AZINDUA AZINDUA HUDUMA YAKUTOA TAARIFA ZA MATAPELI WA SIMU
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amezindua huduma maalum ya kutoa taarifa kuhusu utapeli kupitia Akili Mnemba (AI) ambayo imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuwatahadharisha wateja dhidi ya ulaghai na utapeli wa kwa njia ya simu. Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es…