
DCEA YAKAMATA TANI 14 ZA KEMIKALI BASHIRIFU
Na Aziza Masoud,Dar es SalaamMAMLAKA ya Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya (DCEA) kwakushirikiana na vyombo vingine vya dola, wamefanikiwa kuzuia tani 14 za kemikali bashirifu zilizokuwa ziingizwe nchini kinyume cha sheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa DCEA Kamishna Jenerali Aretas Lyimo alisema mpaka sasa operesheni hiyo…