
MMILIKI MWANAMKE AONGOZA MAGEUZI YA UCHIMBAJI WA SHABA MPWAPWA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MMILIKI wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya Matonya na Kinusi….