‘NAFUU YA MAFUTA KUANZA KUONEKANA JULAI’ NDEJEMBI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Watanzania wataanza kushuhudia kushuka kwa bei za mafuta kuanzia mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuanza kushuka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia baada ya kusitishwa kwa mapigano ya Mashariki ya Kati. Akijibu mwongozo wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo na Mwenyekiti wa…

