
KG 614.12 ZA DAWA ZA KULEVYA ZA KULEVYA ZATEKETEZWA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya leo imeteketeza kilogramu 614.12 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji cha Twiga, kilichopo Wazo, Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari katika tukio hilo, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo…