MRADI WA BILIONI 15.3 WA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 175 WAPOKELEWA KWA SHANGWE MTWARA
Na Mwandishi Wetu Mtwara WANANCHI wa vitongoji vya Msokole na Funguni Kijiji cha Mnazi Kata ya Nalingu Mkoani Mtwara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa Umeme unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ambao wamesema unakwenda kubadili maisha yao. Wametoa shukrani hizo kwa nyakati tofauti Januari 28, 2026 wakati wa kumtambulisha Mkandarasi atakayetekeleza mradi wa…

