MBEYA WAPOKEA BILIONI 42.6, KUPELEKA UMEME VITONGOJI 318
Na Mwandishi Wetu,Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa ameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kupeleka kiasi cha shilingi bilioni 42.6 mkoani Mbeya ili kupeleka umeme kwenye vitongoji 316 kupitia mradi wa HEP 2B unaotekelezwa mkoani humo ili wananchi wanufaike na nishati hiyo. RC Malisa amesema mradi huo unakwenda kuleta…

