DKT. BITEKO AWATAKA WAZAZI KUVUMILIANA KUTUNZA FAMILIA ZAO
Na Mwandishi Wetu,Mwanza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa wazazi nchini kuvumiliana na kushirikiana katika malezi ya watoto wao ambao ndio msingi wa familia yeyote na Taifa kwa ujumla. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Mei 24, 2025 jijini Mwanza wakati akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…

