SIMBACHAWENE:AFRIKA INAHITAJI VIONGOZI WA KIMAGEUZI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejenti ya Utumishi na Utawala Bora George Simbachawene Tanzania na Afrika inahitaji viongozi wa kimageuzi ili kuhamasisha juhudi za pamoja kuelekea kutimiza malengo ya maendeleo jumuishi na endelevu ya barani humo. Simbachawene alitoa kauli hiyo Leo Mei 16, 2025 wakati wa mahafali ya nane ya…

