VITONGOJI VYOTE TANZANIA BARA KUWA NA UMEME IFIKAPO MWAKA 2030- WAZIRI NDEJEMBI

📌Ataja miradi kadhaa inayotekelezwa na REA 📌Amshukuru Rais Samia Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia 📌Wabunge waimwagia sifa REA Na Mwamdishi Wetu, Dodoma Serikali imedhamiria kuhakikisha vitongoji vyote 64,359 vya Tanzania Bara vinafikishiwa umeme ifikapo mwaka 2030 ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii vitongojini pamoja na utoaji wa huduma bora katika maeneo…

Read More

SERIKALI YAJIPANGA UPYA SEKTA YA MADINI, YAFUTA LESENI 40 ZISIZOENDELEZWA

Na Asha Mwakyonde,DODOMA SERIKALI kupitia Tume ya Madini imechukua hatua ya kufuta jumla ya leseni 40 za utafutaji wa madini kutokana na wamiliki wake kushindwa kuziendeleza, katika juhudi za kuimarisha usimamizi wa rasilimali za madini nchini na kuhakikisha zinawanufaisha Watanzania kwa tija. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa…

Read More

DCEA YAKAMATA BOTI YENYE SHEHENA YA MIRUNGI IKITOKEA KENYA 

Na Mwandishi Wetu,Pwani MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata boti ya mwendokasi iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka Mombasa, Kenya kupitia Bagamoyo, mkoani Pwani ambapo viroba 18 vyenye jumla ya paketi 1,062 za mirungi  vilikamatwa. Dawa hizo zilikamatwa katika operesheni hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia April…

Read More

UNGANISHAJI UMEME MOROGORO MBIONI KUANZA, REA YAKABIDHI ENEO

Na Mwamdishi Wetu,Morogoro WAKANDARASI wanaotekelza miradi ya kusambaza umeme nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na Viongozi wa Serikali za Mitaa ili utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme kwa wananchi iweze kuleta tija na kuchochea uchumi wa nchi. Hayo yamezungumzwa na Meneja wa Usimamizi wa Miradi ya Kusambaza Umeme kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha….

Read More

TANZANIA NA URUSI ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UCHUKUZI

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Urusi, tarehe 03 Aprili 2026, zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uchukuzi, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha maendeleo ya miundombinu na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalisainiwa pembezoni mwa Mkutano…

Read More