
WIZARA YA KATIBA NA SHERIA YAWASHAURI WATANZANIA KUANDIKA WOSIA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MKURUGENZI Msaidizi wa Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Abdulrahman Msham amewashauri watanzania kuwa na utaratibu wa kuandika wosia ili kuepusha migogoro ya mirathi katika baadhi ya familia. Msham aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya wakulima maarufu Nane nane ambayo yanafanyika kitaifa…