
IJUE SABABU YA KILA TAASISI KUTAKIWA KUCHANGIA MAPATO YASIYOKUWA YA KODI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA safari ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii, mchango wa taasisi za umma kupitia gawio na mapato mengine yasiyo ya kodi, ni chachu ya ustawi wa taifa. Serikali imewekeza jumla ya Sh86.3 trilioni katika taasisi za umma na kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache. Uwekezaji huu mkubwa unaipa Serikali…