WANANCHI TUNZENI BARABARA KWA KUZIFANYIA USAFI: MHANDISI MATIVILA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza NAIBU Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amewataka wananchi kuhakikisha wanazitunza barabara kwa kuzifanyia usafi ili zidumu kwa muda mrefu. Mhandisi Mativila ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) katika wilaya ya Ukerewe mkoani…

Read Full News

MRADI WA TACTIC KUJENGA BARABARA ZA LAMI KM 17 MANISPAA YA GEITA

Na Mwandishi Wetu,Geita Mradi wa TACTIC unatekeleza ujenzi wa barabara zenye urefu wa Km 17 kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Geita, mkoani Geita unaotarajiwa kufungua mawasiliano katika Manispaa hiyo. Ujenzi wa barabara hizo inaelezwa kuwa zitachochea biashara na shughuli nyingine za kijamii katika manispaa hiyo na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi ngazi…

Read Full News