JINSI WASICHANA WANAVYOENDELEA KUPAMBANA KATIKA MITIHANI YA KITAIFA

NaAMwandishi Wetud,Dar es Salaam BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA)  limetangaza matokeo ya upimaji wa mtihani wa kidato cha nne huku takwimu ikionesha ufaulu kwa wasichana ni   asilimia 94.26 ya wasichana wote ambapo kati ya watahiniwa 526,620  waliofanya mtihani huo wasichana  278,108 ambao ni watahiniwa wa shule     wamefaulu kwakupata daraja la kwanza mpaka la nne. Akizungumza jijini…

Read More