IZZE RIDE KUFANYA MAPINDUZI SEKTA YA USAFIRI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam KAMPUNI ya Izze Ride imezindua mfumo mpya wa usafiri mtandaoni ambao unalenga kuleta mapinduzi katika sekta ya usafirishaji pamoja na kuwainua kiuchumi madereva watakaofanya kazi na mfumo huo. Akizungumza jana Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Izze Ride Fredrick William, alisema ujio wa mfumo huo mpya wa usafiri wa kidijitali unapenga …

