TANESCO YAOMBA RADHI KUKATIKA KWA UMEME JANA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limewaomba na radhi na kuwapa pole wateja wa shirika hilo kufuatia hitilafu ya umeme iliyotokea jana jioni na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza leo Julai 28, 2026 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Lazaro Twange amesema hitilafu hiyo ilianza…

