Waziri wa Fedha aongoza ujumbe wa Tanzania ufunguzi Mkutano wa African Caucus Gambia
Na Benny Mwaipaja, Banjul, Gambia Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika ufunguzi wa Mkutano wa African Caucus wa Mwaka 2026, jijini Banjul nchini Gambia, uliofungiliwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Adama Barrow, ambapo msisitizo mkubwa umewekwa katika Bara la Afrika kuongeza uwezo wake wa kujitegemea kwa…

