WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO WAHIMIZWA KUKATA BIMA
Na Aziza Masous,Dar es Salaam KAMPUNI ya NIC Insurance imewahimiza wamiliki wa vyombo vya moto nchini kuhakikisha wanakata bima ili kujikinga na athari ambazo zitawasababishia hasara zinazoweza kujitokeza pindi yanapotokea majanga au ajali. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Biashara Dar es Salaam Sabasaba,Afisa Bima wa NIC Insurance, Iman Mollel bima katika vyombo vya moto…

