DCEA:TARIME WAMEPUNGUZA KULIMA BANGI KWA ASILMIA 80
Na Mwandishi Wetu,Rorya Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kilimo cha bangi katika Mkoa wa Mara kimepungua kwa takribani asilimia 80 kutokana na operesheni endelevu zinazotekelezwa na Serikali katika kukabiliana na uzalishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza jana, baada ya kuhitimisha operesheni maalumu zilizofanyika katika…

