UJENZI WA MELI MPYA NA CHELEZO KIGOMA KUFUNGUA SOKO LA BIASHARA KIMATAIFA- WAZIRI MBARAWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani Kigoma utaongeza uwezo wa Tanzania kujenga na kukarabati meli nchini, huku ukifungua fursa za biashara na huduma za ujenzi wa meli kwa nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika,…

Read Full News