“UKARABATI WA KIWANJA CHA NDEGE KIGOMA WAFIKIA ASILIMIA 67” WAZIRI MBARAWA
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia asilimia 67 na unatarajiwa kukamilika Desemba 5, 2026, hatua inayolenga kuimarisha huduma za usafiri wa anga na kuchochea shughuli za kiuchumi mkoani humo Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 15, 2026, wakati akikagua maendeleo ya mradi huo,…

