DIRISHA LA USAJILI WA TUZO ZA SERENGETI 2026 KUFUNGULIWA KESHO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa. WIZARA ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi kufunguliwa kwa dirisha la usajili kwa wadau wa uhifadhi na utalii kuwania The Serengeti Awards 2026, huku ikiwasisitiza kutumia fursa hiyo kuonyesha kazi, ubunifu na mafanikio yao katika uhifadhi na uendelezaji wa utalii. Dirisha la usajili litafunguliwa kesho Agosti 20, 2026 na kufungwa…

Read Full News