PROFESA MBARAWA:SERIKALI HAITAKI TAFITI ZINAZOISHIA KWENYE MAKABRASHA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka watafiti nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya katika sekta ya usafiri na usafirishaji zinatoa suluhisho la changamoto halisi, badala ya kuishia kwenye makabrasha na mikutano. Akizungumza leo Agosti 20, 2026 wakati akifungua mkutano wa kimataifa unaohusu usafiri, lojistiki na usimamizi, kuwa mafanikio ya utafiti…

