PROFESA MBARAWA:ENEO LA KUHIFADHIA KONTENA KURASINI KUANZA KAZI NOVEMBA 2026

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema eneo jipya la kuhifadhia makontena linaloandaliwa kwa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam (Port Extension) linatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Novemba 2026, hatua inayolenga kupunguza msongamano bandarini na kurahisisha upatikanaji wa mizigo kwa wafanyabiashara. Profesa Mbarawa alisema hayo jana  wakati wa…

Read Full News

WAZIRI KAIRUKI AITAKA TTCL KUONGEZA KASI YAKUUNGANISHA FIBER MAJUMBANI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angela Kairuki, ameitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuongeza kasi ya kuwaunganisha wananchi na intaneti ya mkongo wa nyuzi majumbani (FTTH), huku akilenga huduma hiyo kuwafikia nyumba milioni moja ifikapo Juni 2028. Kairuki alitoa agizo hilo leo Agosti 21, 2026 ,jijini Dar…

Read Full News