MAKAMU MWENYEKITI UVCCM, SOMBI KUZINDUA WIKI YA VIJANA WA CCM

Na Mwandishi Wetu,Rukwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Ndugu Rehema Sombi Omary (MNEC) atazindua Wiki ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo tarehe 08 Oktoba 2026 wilayani Kalambo mkoani Rukwa. Wiki ya UVCCM itakayozinduliwa leo na kuendelea hadi Oktoba 14 inalenga kuwakutanisha Vijana wa nchi nzima sehemu moja kupeana fursa, kubadilishana uzoefu, kujadili mustakabali wa…

Read Full News