CRDB YAUNGANISHA VIJANA NA FURSA ZA KIFEDHA RUKWA
Na Asha Mwakyonde, RUKWA KONEKTI vijana na fursa za kifedha ili waweze kujitegemea kiuchumi ni miongoni mwa malengo ya Benki ya CRDB kupitia huduma na programu mbalimbali zinazolenga kuwawezesha vijana, wakiwemo wanafunzi wa vyuo na wale wenye mahitaji maalumu. Kupitia ushiriki wake katika Maonesho ya Vijana Kitaifa yanayofanyika Sumbawanga mkoani Rukwa kuelekea kilele cha Mbio…

