TAASISI 2,682 ZAANZA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA, SERIKALI YALENGA TAASISI 30,000
Na Mwandishi Wetu,Mbeya, Wizara ya Nishati imetoa elimu kuhusu Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, katika mkutano uliofanyika Oktoba 22, 2026, jijini Mbeya. Akitoa mafunzo hayo, Mhandisi Benezeth Kabunduguru kutoka Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia, Wizara…

