ITEGA  YAPATA SH MILIONI 15 MASHINDANO YA USALAMA BARABARANI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SHULE ya Sekondari Itega ya jijini Dodoma imeibuka mshindi wa mashindano ya usalama barabarani yaliyoandaliwa kwa udhamini wa kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania, na kujinyakulia zawadi ya Sh milioni 15. Itega imewashinda shule za sekondari Wella na Dodoma zilizokuwa zikichuana katika mashindano hayo yaliyolenga kuongeza uelewa wa wanafunzi kuhusu sheria na…

Read Full News

CHALAMILA KUKUTANA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaalika wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo jijini humo kukutana naye Novemba 14, 2026, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kutafuta namna ya kuzitatua. Chalamila ametoa mwaliko huo kupitia ukurasa wake wa Instagram, akieleza kuwa mkutano huo utafanyika katika Viwanja vya…

Read Full News

MATENGENEZO YA BOMBA MPIJI YAKAMILIKA, DAWASA YAINGIA MTAANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Huduma ya maji imeanza kurejea katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam baada ya kukamilika kwa matengenezo ya kinga ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 katika eneo la Mpiji, Kata ya Mabwepande.‎‎Hata hivyo DAWASA inaendelea kufuatilia usambazaji wake kuhakikisha inawafikia wananchi wote wanaohudumiwa na mtandao huo. ‎‎Akizungumza wakati…

Read Full News