REA YASAINI MIKATABA YA TRILIONI 1.2 YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 9,009

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKIALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.2 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vitongoji 9,009 utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara. Akizungumza katika hafla hiyo leo, Januari 17, 2026 Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi…

Read Full News

MAAFISA MAWASILIANO WAANDALIWA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA

NA Mwandishi Wetu,Morogoro CHAMA Cha Maafisa Mawasiliqno wa Serikali Tanzania (TAGCO) kimeendelea kutoa mafunzo mbalimbali ikiwemo matumizi ya teknolojia ya Akili unde (Artificial Intelligence – AI) kwa Maafisa Mawasiliano wa serikali kwa lengo la kuhakikisha wanafanya kazi kuendana na mabadiliko ya teknolojia. Mafunzo hayo yanayoendelea kufanyika Mkoa wa Morogoro yamejikita kuongeza ubunifu katika kazi na…

Read Full News

KAMISHNA MWENDA:MFUMO WA IDRAS UTASAIDIA KUSIMAMIA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni utaongeza wigo wa Kodi na kusimamia usawa katika ulipaji wa kodi. Hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipokuwa akifungua…

Read Full News

MRADI WA UMEME JUA KISHAPU UKO MBIONI KUKAMILIKA- MHE SALOME MAKAMBA

Na Mwandishi Wetu,Shinyanga Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme unaozalishwa kwa nguvu ya Jua uliopo Kishapu, Mkoani Shinyanga, uko mbioni kukamilika ambapo jumla ya megawati 50 zinatarajiwa kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa ili kuimarisha upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Shinyanga na mikoa jirani. Mhe. Salome ameyasema hayo Januari 9,…

Read Full News

UDOM, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, LSF WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA

Na Asha Mwakyonde, DODOMA WIZARA ya Katiba na Sheria imesaini mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF), kwa lengo la kupanua na kuimarisha huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili waweze kupata haki zao kwa urahisi zaidi. Kupitia makubaliano hayo, Chuo Kikuu cha Dodoma…

Read Full News