MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI
Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari ameshiriki katika kikao cha wadau wa Mahakama kilichofanyika tarehe 22 Januari, 2026 Jijini Dodoma. Kikao hicho kilichoongozwa na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. George Masaju kililenga katika kujadiliana juu ya uboreshaji wa utoaji wa huduma za Mahakama na Sekta ya Sheria kwa…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam NCHI za Afrika zimetakiwa kuungana ili kuwa na nguvu moja yakupambana na mifumo iliyowekwa na nchi za Magharibi kwa ajili yakujinufaisha kiuchumi na kusababisha migogoro baina ya viongozi na wananchi wa nchi hizo kwa kiasi kikubwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwanajumui wa Afrika na Mwanafalsafa kutoka Zimbabwe, Dk. Joshua Maponga,…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WATUHUMIWA wawili, Amasha Iddi Mrisho (40), mkazi wa Buza, Dar es Salaam na Seleman Juma Ally (32), raia wa Msumbiji, Januari 22, 2026, wamefikishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya skanka. Akisoma maelezo ya awali ya shtaka…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAHAKAMA Kuu ya Uhujumu Uchumi, Divisheni ya Makosa ya Rushwa, imemhukumu kifungo cha miaka 28 jela mshtakiwa David Kanayo Chukwu, raia wa Nigeria, ambaye ni mshtakiwa wa kwanza kati ya watatu, baada ya kukiri kosa la kushiriki katika kusafirisha kilogramu 268.50 za dawa za kulevya aina ya heroin. Akisoma hukumu…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzanva (Mb) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ubunifu wake katika sekta ya uhifadhi na utalii, ubunifu uliosababisha ongezeko kubwa la watalii na mapato ya Serikali. Pongezi hizo zimetolewa baada ya Kamati kupokea…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKIALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.2 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vitongoji 9,009 utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara. Akizungumza katika hafla hiyo leo, Januari 17, 2026 Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, TANESCO Mkoa wa Kigamboni ilitoa elimu ya matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia katika Shule ya Msingi Malaika iliyopo Kigamboni. Elimu hiyo ilitolewa wakati wa siku maalum ya ufunguzi wa shule tarehe 13 Januari, 2026…
NA Mwandishi Wetu,Morogoro CHAMA Cha Maafisa Mawasiliqno wa Serikali Tanzania (TAGCO) kimeendelea kutoa mafunzo mbalimbali ikiwemo matumizi ya teknolojia ya Akili unde (Artificial Intelligence – AI) kwa Maafisa Mawasiliano wa serikali kwa lengo la kuhakikisha wanafanya kazi kuendana na mabadiliko ya teknolojia. Mafunzo hayo yanayoendelea kufanyika Mkoa wa Morogoro yamejikita kuongeza ubunifu katika kazi na…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni utaongeza wigo wa Kodi na kusimamia usawa katika ulipaji wa kodi. Hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipokuwa akifungua…