
Hazina:Uchambuzi wa bajeti kuchochea ufanisi taasisi za umma
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TIMU ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia Jumatatu (Leo), kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na mashirika ya umma, kazi ambayo ni muhimu katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa rasilimali za serikali. Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mashirika yasiyo ya…