
NDEGE KUANZA KUTUA IRINGA FEBRUARY 22
Na Mwandishi Wetu,Iringa WAZIRI wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawawa Uchukuzi amesema mkoa wa Iringa rasmi utaanza kupokea safari za ndege za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ifikapo Februari 22 mwaka huu baada ya kiwanja cha ndege cha Nduli kukamilika kwa asilimia 93. Profesa Mbarawa ameyasema hayo jana alipofanya ziara mkoani Iringa kwa ajili ya…