ORYX YAENDELEA KUUNGA MKONO MATUMIZI YA NISHATI SAFI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imeendelea kuunga juhudi za Serikali katika matumizi ya nishati safi ya kupikia imeshirikiana na Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) kuzindua jiko linatumia mfumo wa nishati safi katika Shule ya Sekondari Yusuf Makamba iliyopo Dar es Salaam lengo likiwa kuondoa matumizi ya mkaa katika shule hiyo yenye…

