
TANZANIA YAPANDA KATIKA VIWANGO VYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI
Na Mwandishi Wetu, JAB Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka 2025. Kwa mujibu wa Ripoti ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (Reporters Without Borders – RSF) iliyotolewa tarehe 2 Mei 2025, licha ya Tanzania…