KAPINGA:TEMESA MMEPIGA HATUA KUBWA KIDIGITALI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameipongeza Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa kazi kubwa wanayoifanya katika kutengeneza magari pamoja na huduma mbalimbali wanazotoa kupitia vyombo vya moto vilivyopo chini yake na kusisitiza kuwa taasisi hiyo imepiga hatua kwakuwa inaenda na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Kapinga…

