TANZANIA ,ANGOLA ZATAKIWA KUONGEZA BIASHARA,TISEZA YANADI FURSA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI
Na Mwandishi Wetu Tanzania, Angola zatakiwa kuongeza biashara, TISEZA yanadi fursa za uwekezaji Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Tanzania na Angola zimetakiwa kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili kwa kutumia fursa zilizopo katika sekta za viwanda, kilimo, nishati na usafirishaji ili kugeuza uhusiano wa muda mrefu wa kidiplomasia kuwa manufaa…

