SERIKALI IMEDHAMIRIA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA – NAIBU WAZIRI SALOME
📌Imepunguza kodi kwenye vifaa vya Nishati Safi 📌Lengo ni kuwafikia wananchi wa aina zote. Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Imeelezwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka dhamira ya dhati katika kuleta mapinduzi ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia yanayoongozwa na mkakati wa taifa wa Nishati Safi ya kupikia kwa mwaka 2024-2034…

