BODI YA DAWASA YASISITIZA KUKAMILIKA KWA WAKATI UFUNGAJI WA PAMPU MPYA ZA MAJI
Na Mwandishi Wetu,Pwani Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhandisi Romanus Mwang’ingo, imekagua zoezi la ufungaji wa pampu mpya za kusukuma maji ghafi katika Mtambo wa Kuzalisha Maji wa Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na kusisitiza ukamilishaji wake kwa wakati.Pampu hizo,…

