JNHPP YAONGEZA UMEME,TANZANIA YAGEUKIA FURSA ZA UCHUMI
Na Mwandishi Wetu,Rufiji TANZANIA imeingia katika hatua mpya ya uzalishaji na matumizi ya nishati baada ya kukamilika kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaotarajiwa kuongeza upatikanaji wa umeme na kuchochea uwekezaji, viwanda na biashara ndani na nje ya nchi. Mradi huo umeongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme nchini na kuiwezesha Tanzania kuwa…

