UWEKEZAJI WA DK.SAMIA KWENYE MIUNDOMBINU WAIPA UWEZO NA UBORA TMA KUTABIRI
Na Asha Mwakyonde, DODOMA KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),Dk. Ladislaus Chang’a ameeleza kuwa ubora wa taarifa zao umeendelea kuongezeka na kuimarika kwa sababu ya uwekezaji mkubwa ambao unafanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha miundombinu ya uangazi na ya utoaji wa…

