WACHIMBAJI GEITA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA YA SEKTA YA MADINI

Na Mwandishi Wetu,Geita WACHIMBAJI na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Hayo yamesemwa jana kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wachimbaji hao katika eneo la mnada wa zamani Katoro,Geita kwa lengo la…

Read More

KAPINGA:SERIKALI INABORESHA  MIUNDOMBINU  KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme kunakotokana na uchakavu wa miundombinu hiyo. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo…

Read More

KIHENZILE AWATAKA WATALAAM WA LOGISTIKI KUWASAIDIA MADEREVA KUPATA STAHIKI ZAO

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamNAIBU Waziri wa Wizara ya Uchukuzi David Kihenzile amezindua rasmi Chama cha Wataalam wa Lojistiki na Usafirishaji Tanzania (TALTA) huku alisisitiza kuangalia maslahi ya madereva likiwemo maslahi ili kuwasaidia wanapopata changamoto kazini. Alisema ni muda sahihi sasa wa chama kukaa chini kuangalia na kupata majibu ya changamoto zilizopo na kuzifanyia maboresho….

Read More

KONGAMANO LA KWANZA LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA ARUSHA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam  Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika  Kongamano la kwanza Nishati Safi ya Kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na matumizi ya Nishati isiyo safi ya kupikia na kwenda kwenye nishati safi ya kupikia. Akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Read More